π€π UJUMBE KUTOKA KWA MANAGEMENT TEAM YA HOPE FOR ALL INITIATIVES π€π
Kwa kutambua umuhimu wa afya ya akili, ustawi wa mwanamke na uwiano kati ya maisha binafsi na majukumu ya kikazi, Management Team ya Hope For All Initiatives inayo furaha kukukaribisha kwenye tukio letu maalum:
πΏ βMWANAMKE NJOO TUONGEEβ
π§ MENTAL HEALTH AND WORK LIFE BALANCE
Hili si tukio la kukutana tu, bali ni nafasi ya kujifunza, kuhamasishana, kushirikiana, kujenga connections na kuzungumza kwa uwazi kuhusu changamoto zinazomkabili mwanamke katika maisha na mazingira ya kazi.
π
Tarehe: 26 Septemba 2026
π Mahali: Oasis Club, Mbezi Beach β Dar es Salaam
π° Tiketi: TZS 150,000 kwa mtu
π Dress Code: Smart Casual
Katika tukio hili kutakuwa na:
β¨ Networking
π½οΈ Food & Refreshments
π©Ί Free General Health Checkup
π¬ Mazungumzo na kujifunza kuhusu Mental Health & Work-Life Balance
Management Team ya Hope For All Initiatives inakualika uwe sehemu ya siku hii muhimu. Mlete rafiki, dada, mama, mfanyakazi mwenzako au mwanamke yeyote ambaye ungependa apate nafasi ya kujifunza, kuunganishwa na wengine na kujijengea mtazamo mpya kuhusu afya ya akili na maisha ya kazi.
π Kwa maelezo zaidi:
+255 754 290 530
+255 713 981 070
MWANAMKE, NJOO TUONGEE! β€οΈπ
#HopeForAllInitiatives #MwanamkeNjooTuongee #MentalHealth #WorkLifeBalance #WomenEmpowerment #HAIManagement #Networking #DarEsSalaam
Karibu tushirikiane kujenga jamii yenye wanawake wenye afya, nguvu na ustawi wa kweli.
#MwanamkeNjooTuongee #MentalHealth #WorkLifeBalance #HopeForAllInitiatives #WomenEmpowerment #WomenLeadership #DarEsSalaam
