✨ MWANAMKE NJOO TUONGEE 2026 ✨
Mwanamke, afya yako ya akili na ustawi wako ni muhimu!
Tunayo heshima kumkaribisha Mercy Luhanga Mchechu, Influencer, kuwa sehemu ya jukwaa hili muhimu litakalojadili Mental Health and Work-Life Balance.
Ni fursa ya kujifunza, kuhamasishana, kujenga connections na kupata maarifa yatakayokusaidia kusawazisha kazi na maisha yako.
📅 26 Septemba 2026
📍 Oasis Club, Mbezi Beach, Dar es Salaam
👗 Dress Code: Smart Casual
🎟️ TZS 150,000 kwa mtu mmoja
🤝 Networking | 🍽️ Food | 🥤 Refreshments
🩺 Free General Health Checkup
Karibu Mwanamke Njoo Tuongee 2026 — kwa sababu afya yako, amani yako na ustawi wako ni muhimu. 💚
#MwanamkeNjooTuongee #MentalHealth #WorkLifeBalance #WomenEmpowerment #HopeForAllInitiatives #DarEsSalaam
