Activities

Tunamtambulisha Grace Makani – Tarimo, ambaye atakuwa Moderator katika jukwaa la Mwanamke Njoo Tuongee 2026.

🌿 MWANAMKE NJOO TUONGEE 2026 🌿

Mazungumzo yenye maana yanahitaji mtu anayejua kuyaongoza kwa umakini, hekima na nafasi ya kila sauti kusikika. 💚

Tunayo furaha kumtambulisha Grace Makani – Tarimo, ambaye atakuwa Moderator katika jukwaa la Mwanamke Njoo Tuongee 2026.

Grace atakuwa akiongoza mazungumzo kuhusu Mental Health and Work-Life Balance, mada muhimu inayogusa maisha ya mwanamke katika kazi, familia, biashara na maendeleo binafsi.

Hii ni nafasi ya kujifunza, kubadilishana uzoefu, kujenga connections na kupata maarifa yatakayokusaidia kuishi maisha yenye uwiano na ustawi zaidi.

📅 26 Septemba 2026
📍 Oasis Club, Mbezi Beach, Dar es Salaam
👗 Dress Code: Smart Casual
🎟️ TZS 150,000 kwa mtu mmoja

🤝 Networking | 🍽️ Food | 🥤 Refreshments
🩺 Free General Health Checkup

Mwanamke Njoo Tuongee — kwa sababu kila mwanamke ana sauti, hadithi na nafasi ya kujifunza.

#MwanamkeNjooTuongee #MentalHealth #WorkLifeBalance #WomenEmpowerment #HopeForAllInitiatives #DarEsSalaam